Biashara ya pikipiki

Biashara ya pikipiki

ngege

Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
12
Reaction score
0
Hello,
wana jf mi niko arusha mjini maeneo ya soko dogo ninatafuta pikipiki ya kununua ambayo imeshatumika si zaidi ya miezi minne please ni pm no hii 0686164981
 
Bei sh ngapi mkuu? maana iliyotumika si zaid ya miez m4 ni sawa na mpya.
 
Mkuu bei ni maelewano lakini pia kama imeshatumika zaidi ya miezi minne tunaweza kuelewana mkuu.
Kwa mawasiliano zaidi mkuu hebu ni pm.
 
Back
Top Bottom