kamugishacharles
New Member
- May 3, 2016
- 2
- 1
Mkuu kilio chako ungekielekeza kwa viwanda wazalishaji wa mbegu na wasambazaji. Mkulima akitaka mbegu anaenda duka la pembejeo kwa hitaji la "nataka mbegu zinazodumu kwa muda mrefu" anafanya hivyo ili aendane na matakwa ya mteja wa kati sio mlaji.jamani mie nina kilio changu kwenu wakulima wa nyanya.
minyanya ya siku hizi sijui ni mshumaa gani.
ama ni ya GH?
yaani nyanya haiivi, ni ngumu adi ina mizizi. haina ladha si kwa kuila mbich ama kuipika
ukweli badilini mbegu wakulima wa nyanya.
nafkir kama mlitaka hybrid ya longevity gene basi this gene works antagonistic with taste. nendeni kwa ile mbegu ya zaman jaman
Ndio zimeanza kuwa adimu.!Naona kama nyanya imeanza kupanda Wakuu.
kwenu wapi?Huku kwetu mbona bei ipo chini sana 5000 kwa debe na mzunguko wa pesa ni mdogo ile mbaya!
Kwenu wapikwenu wapi?
Angalau mkuuNdio zimeanza kuwa adimu.!
KWENU WAPIHuku kwetu mbona bei ipo chini sana 5000 kwa debe na mzunguko wa pesa ni mdogo ile mbaya!
anautaalamu? ama maana kuuza kwenyewe hawezi sasa kuunda mbegu si itakuwa kashesheMkuu kilio chako ungekielekeza kwa viwanda wazalishaji wa mbegu na wasambazaji. Mkulima akitaka mbegu anaenda duka la pembejeo kwa hitaji la "nataka mbegu zinazodumu kwa muda mrefu" anafanya hivyo ili aendane na matakwa ya mteja wa kati sio mlaji.
Kwetu Turiani mkuu!kwenu wapi?
KWENU WAPI
KWENU WAPI
Kwetu Turiani mkuu!
Wapi huko mkuuHuku kwetu mbona bei ipo chini sana 5000 kwa debe na mzunguko wa pesa ni mdogo ile mbaya!