Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,605 Jan 19, 2017 #1 Hivi hawa madada poa na makaka poa wateja wao ni akina nani make katika watu Wangu wanaonizunguka sijawahi kusikia mtu yeyote kanunua ao watu
Hivi hawa madada poa na makaka poa wateja wao ni akina nani make katika watu Wangu wanaonizunguka sijawahi kusikia mtu yeyote kanunua ao watu
pistmshai JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 1,313 Reaction score 3,685 Jan 19, 2017 #2 kama unataka kuwajua wateja, siku moja jifanye mhudumu wao! utatuletea mrejesho
Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Jan 19, 2017 #3 Kama watu wako wa karibu hawakuamini kwenye hii mambo, sisi tunaanzia wapi?
malisoka JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 1,860 Reaction score 2,639 Jan 19, 2017 #4 Ma dada poa wateja wao ni wanaume ambao ni Ma kaka poa.
TEAM VIBAJAJI JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 1,858 Reaction score 2,301 Jan 19, 2017 #5 Wateja wao wakubwa nisisi waume za watu anaebisha anyooshe kidole juu
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,863 Reaction score 89,777 Jan 19, 2017 #6 Umevutiwa nayo? Unataka kuanza yako?
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,605 Jan 19, 2017 Thread starter #7 joanah said: Umevutiwa nayo? Unataka kuanza yako? Click to expand... Siwezi kijichanganya na uo uchafu
joanah said: Umevutiwa nayo? Unataka kuanza yako? Click to expand... Siwezi kijichanganya na uo uchafu
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,371 Jan 19, 2017 #8 Kama hutaki kujihusisha na hiyo biashara unaulizia yanini?
I Ishaselo JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 329 Reaction score 336 Jan 19, 2017 #9 Tajirimsomi said: Hivi hawa madada poa na makaka poa wateja wao ni akina nani make katika watu Wangu wanaonizunguka sijawahi kusikia mtu yeyote kanunua ao watu Click to expand... Unaishi mkoa gani, maana naamini huishi Dar.
Tajirimsomi said: Hivi hawa madada poa na makaka poa wateja wao ni akina nani make katika watu Wangu wanaonizunguka sijawahi kusikia mtu yeyote kanunua ao watu Click to expand... Unaishi mkoa gani, maana naamini huishi Dar.
nosspass JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 5,815 Reaction score 4,791 Jan 19, 2017 #10 mambo ya ngoswe ....
D Dangotez Member Joined Jan 14, 2017 Posts 8 Reaction score 1 Jan 19, 2017 #11 TEAM VIBAJAJI said: Wateja wao wakubwa nisisi waume za watu anaebisha anyooshe kidole juu Click to expand...
TEAM VIBAJAJI said: Wateja wao wakubwa nisisi waume za watu anaebisha anyooshe kidole juu Click to expand...
TEAM VIBAJAJI JF-Expert Member Joined Oct 9, 2016 Posts 1,858 Reaction score 2,301 Jan 19, 2017 #12 Dangotez said: View attachment 461640 Click to expand... ....kweli umevirugwa mkuu
Joanah JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 24,863 Reaction score 89,777 Jan 19, 2017 #13 Tajirimsomi said: Siwezi kijichanganya na uo uchafu Click to expand... Ulivyoulizia tu umejichanganya na huo uchafu
Tajirimsomi said: Siwezi kijichanganya na uo uchafu Click to expand... Ulivyoulizia tu umejichanganya na huo uchafu
Erickjr JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 994 Reaction score 788 Jan 19, 2017 #14 pistmshai said: kama unataka kuwajua wateja, siku moja jifanye mhudumu wao! utatuletea mrejesho Click to expand...
pistmshai said: kama unataka kuwajua wateja, siku moja jifanye mhudumu wao! utatuletea mrejesho Click to expand...
Hamis Juma JF-Expert Member Joined Nov 4, 2011 Posts 2,229 Reaction score 2,273 Jan 19, 2017 #15 Tajirimsomi said: Hivi hawa madada poa wateja wao Click to expand... Mm nanunua yuko wapi
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 10,146 Reaction score 41,401 Jul 28, 2017 #16 Tajirimsomi said: Hivi hawa madada poa na makaka poa wateja wao ni akina nani make katika watu Wangu wanaonizunguka sijawahi kusikia mtu yeyote kanunua ao watu Click to expand... Mfano wa kaburi ndiyo hili. Cc Shunie
Tajirimsomi said: Hivi hawa madada poa na makaka poa wateja wao ni akina nani make katika watu Wangu wanaonizunguka sijawahi kusikia mtu yeyote kanunua ao watu Click to expand... Mfano wa kaburi ndiyo hili. Cc Shunie