Inategemea na eneo unalotaka kufanya biashara, ushauri tafuta sehem hata uswahilini tu kulikochangamka vizuri sehem ambayo usafiri hausumbui kufikisha mizigo yako kwakuwa unalima mwenyewe fungua tu hata uswahilini kukwepa gharama kubwa za kodi, ila ungekuwa unaenda mkoani kununua mazao ningekushauri tafuta sehem ya barabarani au maeneo ya masoko