Biashara ya Nafaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Nafaka

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Buggy, Nov 1, 2011.

 1. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wanajamii, naomba kufahamishwa zaidi juu ya biashara ya nafaka. Nimeambiwa kuwa biashara ya nafaka kama mahindi, mchele, unga ni nzuri sana. Je, ni hatua zipi za kufuata kama unataka fungua duka la nafaka? Mie nipo Dar (nafikiria maeneo kati ya Kawe na Boko). Na nitahitaji mtaji wa kiasi gani wa kuanzia. Asanteni.
   
 2. Kamaka

  Kamaka JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2011
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 565
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  m.kumi
   
 3. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nifafanulie basi! Kamakaa, mbona umetoa jibu fupi?????
   
Loading...