Nenda kanunue Tandika kama bado unajitafuta. Kama uko Vizuri import toka mkoa mbeya,.moro etcHabari zenu wana JF
Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar.
Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu.
Asantee!!
Unauza mwenyewe au unamuachia mtu?Okay Asante
Ulishapata hiyo connection?Habari zenu wana JF
Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar.
Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru nikipata connection ya watu waaminifu.
Asantee!!
Habari zenu wana JF

Naomba elimu hapa kaka.Kagera chimbo la maharage karibu sana