Biashara ya mtumba

bilchaser06

New Member
Joined
Sep 28, 2026
Posts
3
Reaction score
1
Habari,wakubwa
Nataka kufanya biashara ya nguo za mtumba, naomba ushauri kuhusu biashara hiyo lakini pia vitu gani vya kuzingatia wakati wa kuchagua balo lenye nguo zenye ubora. Asanteni🙏
 
Hiyo biashara unaifanyia wapi mjini au vijijin na mtaji wako ni kias gan?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…