Habari ndugu zangu, kwanza nianze kwa kusema JF inaushawishi kuliko mitandao mingine yoyote.
Aiseh mimi ni kijana wa miaka 23 tu, nimemaliza chuo mwaka jana october nilipata nafasi ya kazi ( part time) kwenye taasisi niliyosoma (best student).
Post zangu si nyingi ila natamani sana kuwa na kibiashara cha kuniingizia chochote kitu wakati nahangaika na taaluma yangu.
Plan zangu nyingi napanga naona kama bado sijafanikiwa hasa nifanye kipi.
Nauliza kwa 2.5 M naweza anzisha biashara ipi isiyo na risk kubwa na ambayo nitaisimamia isiathiri utendaji wangu wa kazi huku nilipo.
Nakaribisha mawazo ndugu naomba ieleweke pia. Kipindi nipo chuo nishawahi anzisha biashara (mtaji wa 1.5M nilishirikiana na mwenzangu tukampa ndugu aendeshe) nilipikiwa hesabu kuja kushtuka imebaki laki nane.
Nilianzisha biashara pia mwaka jana ya duka usimamizi ulikuepo ila nikalizwa pia frame nimeikinai japo ina kodi ya miezi miwili mbele.
Karibuni tushauriane ndugu. Nitapokea na Mungu akawabariki zaidi
===Update===
idea yangu kwa sasa ni kununua pikipiki mpya niifanye utaratibu wa kupata mtu mzoefu wa hiyo kazi kwa Dsm nimpatie mkataba wa mwaka mmoja inakuwa yake.
Nitafanya utaratibu wa kufunga mfumo wa kuitrack niweze kuimanage nikiwa kazini hii nadhan itapunguza risk na mauzauza yake
Japo huo ndo uelewa wangu sijajua upande wa pili wa hii biashara upoje