B bebianca Member Joined Jul 13, 2014 Posts 14 Reaction score 1 Aug 1, 2014 #1 eti wana jf biashara ya mpesa na tigo pesa inafaida?
deepsea JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 3,287 Reaction score 947 Aug 1, 2014 #2 Kila biashara inafaida
I ISIMBA Senior Member Joined Feb 7, 2013 Posts 144 Reaction score 30 Oct 12, 2014 #3 Me naomba kufahamu, hivi ukitaka kuwa wakala wa tigo/mpesa unatakiwa kuwa na bei gani?
M mpanga liganga Senior Member Joined May 16, 2014 Posts 198 Reaction score 423 Oct 12, 2014 #4 ninazo line za mpesa na tigo pesa km utaitaj ni pm,
devota vijance Member Joined Sep 5, 2014 Posts 33 Reaction score 49 Oct 12, 2014 #5 Ina faida endapo utapata sehemu nzuri yenye flow ya watu, pia inahitaji MTU aliye smart kichwani kwani utapeli ni mwingi sana. Bila kusahau kuomba kwani utapeli mwingine ni Mungu tu anasaidia
Ina faida endapo utapata sehemu nzuri yenye flow ya watu, pia inahitaji MTU aliye smart kichwani kwani utapeli ni mwingi sana. Bila kusahau kuomba kwani utapeli mwingine ni Mungu tu anasaidia