Biashara ya Mpesa na tigo pesa

Biashara ya Mpesa na tigo pesa

Me naomba kufahamu, hivi ukitaka kuwa wakala wa tigo/mpesa unatakiwa kuwa na bei gani?
 
Ina faida endapo utapata sehemu nzuri yenye flow ya watu, pia inahitaji MTU aliye smart kichwani kwani utapeli ni mwingi sana. Bila kusahau kuomba kwani utapeli mwingine ni Mungu tu anasaidia
 
Back
Top Bottom