Ningependa kujua utokaji wa nguo za mtumba za wadada cotton BLOUSE nataka niagize Belo China Grade A ila sijajua kama zinapendwa sana au kama zipo zinazopendwa naombeni ushauri wenu.

Biashara ya mitumba nimewahi ifanya ila nilikuwaga nachukulia pale mnazi mmoja Belo, ukibahatika unaweza kuapa kutoiacha ila ikienda vibaya utailaani kabisa.