konabar
Member
- Apr 18, 2018
- 25
- 19
Kwa yeyote anaetafuta mihogo mihogo kwa akili ya Biashara. Nauza na kukuletea mpka Tandika kwa tsh 75000/= kusafirisha juu yako ambayo ni tsh 7000/= kiasi ni kiroba cha kilo 100 mzigo unakuwa umefungwa mpka unamwagika..... Wanao thubutu ndio wanao fanikiwa.....karibu nyote tupambane na arudi umaskini....call me 0762457401