Biashara ya micro-finance au micro-credit. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya micro-finance au micro-credit.

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Bhbm, Nov 12, 2011.

 1. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #1
  Nov 12, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Habari wana jf. Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Ni kiasi gani cha pesa naweza kuanzia kama mtaji katika biashara ya kukopesha pesa kwa wafanya biashara wadogo, na je ni process gani za kufuata ili kufungua hiyo biashara? Natanguliza shukurani wapendwa.
   
 2. Sokwe Mjanja

  Sokwe Mjanja JF-Expert Member

  #2
  Nov 13, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Jamani hakuna mwenye nondo za hii kitu? nami naisubiri kwa hamu sana hii elimu au ndio mambo ya weekend wakubwa wamepumzika, ngoja tusubiri jumatatu
   
 3. Captain22

  Captain22 JF-Expert Member

  #3
  Nov 13, 2011
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Tembele tovuti ya BOT, hapo utapata taratibu za uanzishaji wa MFI
   
 4. C

  Charity Member

  #4
  Nov 15, 2011
  Joined: Sep 13, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  The best option ni kufungua private company limited by shares, kwa msaada zaidi tuma email kwa mtaalamu wa mambo hayo upendo_2007@yahoo.com
   
 5. s

  sanjo JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Mkuu, biashara ya kukopesha (Micro lending and Microfinance institutions) kimsingi is supposed to be regulated na Benki Kuu ya Tanzania. Lakini kwa sasa hivi BOT haijaanza ku regulate kama inavyofanya kwa mabenki na Bureau de Change. hivyo, unachotakiwa kufanya ni kuandikisha a limited liability company through BRELA na baadae pata letter of no objection kutoka BOT baadae chukua leseni ya biashara kutoka Wizara ya Biashara na
  Viwanda.

  Kwa sasa hakuna minimum capital requirement kwa ajili ya biashara hii. Kwa hiyo mkuu, changamkia haraka kabla BOT hawajaja na masharti au vigezo vingine lakini lazima utengeneze a comprehensive business plan of at least 3-5 years.
   
 6. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Nakushukuru sana mkuu kwa ushauri na ufafanuzi mzuri. Be blessed.
   
 7. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Asante sana mkuu kwa ushauri mzuri.
   
 8. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #8
  Nov 16, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  it's a good business
   
 9. CONSULT

  CONSULT JF-Expert Member

  #9
  Nov 16, 2011
  Joined: May 8, 2011
  Messages: 223
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  thank you members
   
 10. zackfinance

  zackfinance Member

  #10
  Dec 2, 2014
  Joined: Apr 6, 2013
  Messages: 47
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  bado unayo hii idea? tufuatilie kwenye JF
   
Loading...