Biashara ya mbuga ya wanyama

Worldboss

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2015
Posts
2,933
Reaction score
3,777
Habari wanajamvi

Nataka kufungua biashara ya mbuga ya wanyama maana nimefanikiwa kupata pori huku vingunguti.

Natafuta wanyama wa Kali kama Simba watoto na chui watoto pia. Ni moja ya njia za kujiajiri tu.Asanteni
 
Ving

Vingunguti kumbe bado kuna sehemu kuna pori hahahaha
 
Habari wanajamvi

Nataka kufungua biashara ya mbuga ya wanyama maana nimefanikiwa kupata pori huku vingunguti.

Natafuta wanyama wa Kali kama Simba watoto na chui watoto pia. Ni moja ya njia za kujiajiri tu.Asanteni
Mwanaume wa Daaaaslam kwenye ubora wake. Mkiambiwa Jiji limewashinda rudini Manyovu Kigoma mnang'ng'ania tu
 
Vinginguti ipi mkubwa ..
 
Mwanaume wa Daaaaslam kwenye ubora wake. Mkiambiwa Jiji limewashinda rudini Manyovu Kigoma mnang'ng'ania tu

Mbona biashara ya kawaida tena ya kiume kabisa hiyo, sema wewe ndio huijui au hujawahi sikia sababu ya kukaa Manyovu huko hata kutoka utembee hutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…