Ungeandika kwa urefu zaidi. Chia ni nini,inatumika kufanya nini, faida zake ni nini. N.k we unafanya biashara afu unakua mvivu kuandika maelezo ya kutosha kutangaza biashara yako. Hata kuambatanisha picha umeshindwa
Ingawa mimi binafsi naijua chia nimeandika kwa faida yako. Biashara matangazo mkuu.