Biashara ya Mazao

MkuuXyz

Senior Member
Joined
Jun 18, 2025
Posts
161
Reaction score
269
Swali ni fupi sana na nahitaji majibu mafupi kutoka kwa wadau wenye ufahamu/uzoefu na biashara hii.

SWALI- Ni mtaji wa kiasi gani ( MINIMUM) Unahitajika kuanzisha biashara ya kununua mazao ( nafaka ) mikoani na kuleta kuuza Dar.

Tafadhali zingatia kuwa nahitaji kujua mtaji wa chini kabisa wa kuanzia ( MINIMUM )
*Swali limeulizwa kwa niaba ya ndugu yangu, kijana wa mika 35

Ahsanteni.
 
Mazao gani umefkiria kila zao lina mtaji wake
 
Hata gunia Moja mawili unaanza ni wewe tuu,,, Cha msingi uwe unawateja wa haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…