Sina uzoefu na hii kitu lakini kama umeshatia nia go ahead mkuu, labda nikupe fursa tu morogoro maeneo ya ifakara mpaka mlimba huko kuna kipindi gunia moja la mpunga la debe8 huwa ni 50k mpk 60k na kuna kipindi gunia hilo hilo hupanda mpaka kufika 110k.....