Habar wapendwa Mimi Nina mtaji wangu wa million 1 nataka kufanya biashara ya matunda soko la buguruni niwe natoa Moshi parachichi na ndizi nije kuuza hapa buguruni naomba mwenye uzoefu au anayefanya ishu hii anipe muongozo
mali mbichi kwa milion mbona mtaj mdogo sana coz huo ni mtaji wa mfanyabiashara wa matunda ndan ya dar anae nunua mzgo kutoka kwa mfanyabiashara wa arusha au Tanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.