Matunda yanalika sana, haijalishi dini wala kabila watu wote wanakula matunda. Biashara hii inahitaji uhakika wa usafiri ili uweze kuuza matunda yakiwa katika hali ya ubora.
Laki mbili hapana; ni uongo wa kiwango cha rami, posta kuna wanaouza hayo matunda, wanatangeneza 50-60 per day kama Profit, japo hawakusema wanaweka sh ngapi
Na pia anauzia wapi,tujaribu kuchukua details zilizokuwa ndani ya taarifa,hii itatujenga hata mitazamo yetu,tusikimbilie kuikosoa elimu kwamba ni mbovu wakati umeshindwa kuelimika.
Ila nawe mbona unapita mule mule,no fact za unalolisema,nadhani ingependeza zaidi Kama ungemkosoa kwa facts nasi tukazijengea solutions hzo changamoto,huo ndio uungwana kusema 2 haiwezekani na hutoi options zako hiyo mhh