Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Lushoto matunda yamewasaidia sana kuinua hali ya uchumi.ni biashara nzuri sana,hasa ukiwa na uhakika wa upatikanaji wa mzigo
Sahani sh 2,000Anauzaje? Kwa sahani au kwa kipimo anachotumia yeye.
Matunda ya 20,000 yanatoa sahani 100, eti ehh.....Sahani sh 2,000
Inategemea unanunulia wapiMatunda ya 20,000 yanatoa sahani 100, eti ehh.....
Watanzania tunadanganyika kirahisi sana
Hata iwe Tanga, Mbeya au Iringa au popote unachokielezea ni hearsay business not real business.Inategemea unanunulia wapi
Huwezi kuuza/kumsevia mteja vyote hivyo kwa pamoja, ata mimi bado kuna walakini matunda ya 20000/= kutoa profit ya 200000/=.Matunda ya 20,000 yanatoa sahani 100, eti ehh.....
Watanzania tunadanganyika kirahisi sana
Mchanganuo wa matunda ya 20,000.
Ndizi..............
Nanasi...........
Papai.............
Maembe........
Chungwa........
Apple...........
Kiwi fruit.......
Parachichi.......
Tikiti............
Weka vingine.......
Bado sahani disposable........
Maji ya kuoshea matunda na meza zako.......
Na vingine vingi tu yakiwemo mafriji, umeme, eneo etc ....
Rafiki yako mwambie akuambie na Changamoto za BIASHARA ya matunda
Ukienda shambani tikiti moja sh 2,000/3,000 tikiti moja linatoa sahani 20Matunda ya 20,000 yanatoa sahani 100, eti ehh.....
Watanzania tunadanganyika kirahisi sana
Mchanganuo wa matunda ya 20,000.
Ndizi..............
Nanasi...........
Papai.............
Maembe........
Chungwa........
Apple...........
Kiwi fruit.......
Parachichi.......
Tikiti............
Weka vingine.......
Bado sahani disposable........
Maji ya kuoshea matunda na meza zako.......
Na vingine vingi tu yakiwemo mafriji, umeme, eneo etc ....
Rafiki yako mwambie akuambie na Changamoto za BIASHARA ya matunda
Utakuwa umepata matikiti mangapi kwa 20,000/? Bado hujaweka matunda mengine, jumlisha nauli ya kwendea shambani 😂🤣😅Ukienda shambani tikiti moja sh 2,000/3,000 tikiti moja linatoa sahani 20
Matikiti matano au sita, ndizi moja sahani mbili, machenza ya shi 2,000 unaweka tumba tatu kila sahani, parachichi unaweka kipande sahani inajaaUtakuwa umepata matikiti mangapi kwa 20,000/? Bado hujaweka matunda mengine, jumlisha nauli ya kwendea shambani 😂🤣😅
Dhumuni namba moja ni kumridhisha mteja, je kwa huduma hiyo mteja wako ataridhika, kiasi cha kesho kuja tena kwenye biashara yako?Matikiti matano au sita, ndizi moja sahani mbili, machenza ya shi 2,000 unaweka tumba tatu kila sahani, parachichi unaweka kipande sahani inajaa
Hiyo hesabu labda laki mbili ya zim,yani anapata zaidi ya 180% ya mtaji wake...kwahiyo elfu 20 kwa mwezi inazaa faida ya 2,400,000...hiyo hesabu yako atakuelewa mtu aliesoberInategemea unanunulia wapi
Faida ni 180,000.Hiyo hesabu labda laki mbili ya zim,yani anapata zaidi ya 180% ya mtaji wake...kwahiyo elfu 20 kwa mwezi inazaa faida ya 2,400,000...hiyo hesabu yako atakuelewa mtu aliesober
Matunda yanalika sana, haijalishi dini wala kabila watu wote wanakula matunda. Biashara hii inahitaji uhakika wa usafiri ili uweze kuuza matunda yakiwa katika hali ya ubora.
teja ambao ni lazima wale matunda, ni kila siku wanakwenda kula. Matunda ya 20,000 yanampatia laki mbili kwa siku.