sasa wewe mzito mbona unaingilia kona za watu kwani yeye ana mdomo wakunijibu we hujui kuwa hajaiweka vizuri post yake aliyoituma, na huyo kiongozi umempata wapi akikuona umeweka picha yake hapo atakuchukulia hatua za kisheria wewe mm naenda dodoma kumwambia tuone maana umezoea kuingilia kona za watu wewe naenda kukukshtaki kwake kuleeee