pantheraleo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 692
- 887
Habari wana JF wenzangu wa nguvu? Mimi ni mfanyabiashara wa siku nyingi,ila sijawahi kufanya biashara ya majeneza. nasikia ni biashara ambayo inalipa lakini nayo ina msimu. Kuanzia mwezi wa 10 hadi wa 12. Na miezi ya katikati ni kuskilizia na kupata lakini si ka miezi niliyoitaja hapo juu. Naomba wataalamu wa hii biashara wanipe idea ya hii biashara. Nahitaji kufanya ndio maana naulizia. Karibuni.