Biashara ya madini ya silver

osib

Senior Member
Jan 19, 2017
101
216
Habari wakubwa....

Naomba mwenye kujua soko la haya madini aina ya silver Kwa hapa nchini ..au hata nje ya nchi......au mwenye utaalam nayo.
 
Habari wakubwa....

Naomba mwenye kujua soko la haya madini aina ya silver Kwa hapa nchini ..au hata nje ya nchi......au mwenye utaalam nayo.


#Kwa tz, silver haina mpango wowote. Nikisema haina mpango nina maanisha madini ya silver na vitu vya silver vyote.

Hapa nazungumzia kwenye maduka ya SONARA makubwa ya KITUMBINI (Dar) Japo sonara za uswahilini huwa wananunua silver.

USHAURI: Kwa sasa kila mkoa, kila wilaya kuna masoko ya madini. Nenda kwenye masoko madini watakupimia madini yako (yoyote) kisha inawezekana (sio jukumu lao) wakakuunganisha na wanunuzi. Kwa dar soko la madini lipo posta, mtaa wa samora jengo la NHC HOUSE ghorofa ya 10 na 11. Mwisho: Gold ndio mali sio silver! #Sitegemei maswali.
 
Back
Top Bottom