N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Jul 4, 2012 #1 Wadau samahani naomba mnijuze kwa wenye ufahamu? Katika Mkoa wa Rukwa kuna machimbo madogo ya dhahabu na nasikia biashara ya dhahabu inalipa huko? Je mtaji inaweza ikawa kiasi gani na soko lake likoje????
Wadau samahani naomba mnijuze kwa wenye ufahamu? Katika Mkoa wa Rukwa kuna machimbo madogo ya dhahabu na nasikia biashara ya dhahabu inalipa huko? Je mtaji inaweza ikawa kiasi gani na soko lake likoje????
Singida ndio home JF-Expert Member Joined Feb 23, 2012 Posts 3,188 Reaction score 3,378 Jul 4, 2012 #2 tafuta mashine ya ku sense dhahabu 1,400,000
N Naitwa Nani Member Joined Dec 18, 2011 Posts 29 Reaction score 2 Jul 6, 2012 Thread starter #3 shiny c said: tafuta mashine ya ku sense dhahabu 1,400,000 Click to expand... Poa Mdau nashukuru kwa ushauri wako!! Pamoja sana!!
shiny c said: tafuta mashine ya ku sense dhahabu 1,400,000 Click to expand... Poa Mdau nashukuru kwa ushauri wako!! Pamoja sana!!
H humphrey mbashar New Member Joined Jun 11, 2015 Posts 1 Reaction score 0 Jun 18, 2015 #4 Sasa hiyo haina jina lake