Biashara ya Madawa ya kulevya.

paqwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
2,387
Reaction score
3,230
Hivi Ina maana vyombo havioni Biashara ya Madawa hasa ya cocaine inavyoenea majiji?! Network ya watu wanokwenda Mombasa, Dar , Arusha na Dodoma. Wanazuga kama wanafanya Biashara za Magari na spare!? Nani anawapa Baraka? Heroin ipo miaka kibao lakini cocaine Sasa hivi imeenea sana. Na inatumiwa na wengi pia sababu ni ya gharama zaidi.
 
Hivi hii biashara ya mkokaa aka mirungi imeruhusiwa hapa Himo? Himo mkokaa unauzwa nje njè.
Au Lyimo ameruhusu wachaga wenzake wapige hela kwa gharama ya afya za watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…