Wakuu habari zenu! Kuna anaefanya biashara ya kuni dar es salaam? Kwa reja reja yani.. anachukua mzigo anauza reja reja. Anielezee kidogo jinsi inavyoenda kama mtaji wa kuchukua mzigo unaeza kuanza na sh ngapi! Na uuzaji wake pia upoje! Nakaa maeneo ya uswahilini kidogo nlkua nataka nijaribu kuifanya hii biashara. Natanguliza shukurani