Mwafrika mmoja
Senior Member
- Mar 15, 2019
- 104
- 234
Naelewa Mkuu ... mimi mwenyewe sina ila kuna watu wanazo na hawajui wawekeze wapiMkuu milion 5 sio mchezo
Karibu PMHaya niambie mim hiyo biashara ya nafaka tunaifanyaje. Yan tunaanza nayo vp
Huuu sasa ndo uhuni tunasema haufai....wewe unakuja humu kuleta mbinu alafu unataka watu wakufate Pm???Karibu PM
Dogo anatafuta ajira acha wakaelewane pm...Huuu sasa ndo uhuni tunasema haufai....wewe unakuja humu kuleta mbinu alafu unataka watu wakufate Pm???
Anataka akuuzie mchanganuo ndo maana anakuita pembeni ili akupige vizuriHuuu sasa ndo uhuni tunasema haufai....wewe unakuja humu kuleta mbinu alafu unataka watu wakufate Pm???
kwa wengine hiyo hela ya mboga... maisha sio fairMkuu milion 5 sio mchezo
Mwaga mawazo hapa kama unavotaka na sisi tutiririke hii itakuwa ni faida kwa wengi sasa PM ya nini????Karibu PM
Biashara nimemzitaja hapo ... Uhuni ni upi?. PM atakuja mtu ambaye yuko tayari tushirikianeHuuu sasa ndo uhuni tunasema haufai....wewe unakuja humu kuleta mbinu alafu unataka watu wakufate Pm???
Asante kwa kunielewa MkuuDogo anatafuta ajira acha wakaelewane pm...
Ninataka ndiyo manaa ninatafuta mtu wa kushirikiana mwenye hiyo pesa mimi sina mtaji nina mchanganuo wa namna ya kufanya .... akiona inafaa tutafanyaIngekuwa rahisi watu wengi sana wangeshakuwa matajiri.... akili za kuambiwa changanya na za kwako. Wewe mleta mada hautaki kuwa tajiri?
Hee!Habari za Asubuhi wakuu humu ndani natumahi mko poa.
Sasa kama mada inavyojieleza hapo juu, mimi nimekuwa nikifanya utafiti mbalimbali hapa Dar es Salaam kuhusu biashara ambazo mtu ukizifanya kwa sasa ni haraka tu unatoboa kimaisha. Miongoni mwa biashara hizo ni biashara ya kuuza nafaka kwa jumla na rejareja, kuuza chakula chenyewe hapa namaanisha restaurant pamoja na biashara ya simu na accessories.
Nina mchanganuo wa biashara zote tajwa hapo juu, kuanzia mtaji wa milioni 5 ili kuweza kufanikiwa kwa urahisi zaidi. Kwa yeyote mwenye mtaji ambao hana wazo wala mchanganuo wa biashara namkaribisha tuweze kushirikiana.
KabisaNinataka ndiyo manaa ninatafuta mtu wa kushirikiana mwenye hiyo pesa mimi sina mtaji nina mchanganuo wa namna ya kufanya .... akiona inafaa tutafanya
Biashara ya laki moja fanya hivi. Chukua 50k tafuta brenda ya kusagia juice ya matunda, 10k tafuta dumu la lita 5 na 20k tafuta cup ndogo za kuwekea juice za take away za buku na jero jero na hiyo 20k inayobaki tafuta matunda mbalimbali saga juice dumu moja weka juice ya aina moja ambayo inapendwa sana na dumu lingine weka juice ya mchanganyiko kisha mtafute dogo yoyote unayemuamini kama huwezi kutembeza mwenyewe, mkubalianae utampa Tsh ngapi kwa siku.mm nataka nfanye biashara ya laki moja wakuu nipeni ushauri serious