Ni biashara nzuri sana,lakini si Japan wala Dubai hayo mambo yanapatikana Sharjah ambayo ni moja ya miji saba inayounda United Arabs Emirates,Ili kupata idea ya bei jaribu kupiga +97165328133 au
alabeerauto@yahoo.com sina uhakika wa website lakini ukiandika alabeer auto utasikia mambo yake,usafirishaji ni cheap na kodi ni ndogo,meli ikitoka Emirates leo ndani ya siku kumi mzigo upo Dar.