Biashara ya kulenga magari

Biashara ya kulenga magari

ngoja kwanza tujue mwisho wa Ndugai tutarudi kikieleweka...
 
Mm naifanya hyo bzness...ila n kama part time flan hv..inanilipa kiasi chake

Cha kujua ni kuwa n lazma ujuane na mtu anaeuza gari..usijichanganye uwe unanunua kwa madalali..itakula kwako..nunua gari kwa mmiliki wa gari..huo ndo ushaur wangu
 
Ntampataje anaeuza gari ambae yeye ndio mmiliki Halali namna yakumpata kujua anauza gari yake
 
Mm naifanya hyo bzness...ila n kama part time flan hv..inanilipa kiasi chake

Cha kujua ni kuwa n lazma ujuane na mtu anaeuza gari..usijichanganye uwe unanunua kwa madalali..itakula kwako..nunua gari kwa mmiliki wa gari..huo ndo ushaur wangu
Kwa kifupi ni lazima uwe dalali ambaye hategemei udalali kuendesha maisha...😂😂😂
 
Hapana sio lazima uwe dalali unaweza ukawa namishe nyingine zakukuingizia kipato kila Ila hii ikawa Kama part time maana inakua nimoja yakuongeza kipato
Maana yangu ya kuwa dalali ni kwamba, hauwezi kuwa na hiyo connection ya watu wanaouza magari yao ili ulenge bila kujihusisha na u-mtu wa kati kwenye hiyo biashara
 
Ishi na dalali ishi na kila mtu. Dalali ndio atakuweka karibu na mmiliki. Ukimpa yeye anachotaka utapata wewe unachotaka.
Uwe na akili ya kujua thamani ya hiyo gari.
Jifunze kuweka vizuri gari utayoilenga ili uirudishe sokoni kwa bei utayopata faida.

Biashara ya kulenga hata wale wanaoenda japan wanafanya hivo kwenye minada.
Akili kitu muhimu.
 
Habar wakuu Nina idea yakufanya biashara ya kulenga magari .yaan nanunua gari za Bei ndogo 4m,3.5m,5m Kisha kuziuza kuzitafutia wateja kwa faida ya pesa kidgo kuanzia 500000..wajuzi wamambo nipeni naujanja Sina uzoefu wowote wa magari
Pia ni vizuri ukawa na fundi wako ambaye atakuwa anakukagulia gari, ukihitaji ninae mdogo wangu makenika hana tamaa dogo.. Atakuchekia kama gari ishawahi kula mzinga anatambua..
 
Back
Top Bottom