Habari wakuu,
Nafikiria kuanzisha biashara ya kukopesha kama ka microfinance kadogo lakini nibaki na dhamana.
Kwa mfano una simu au laptop unakuja unaicha ofisini (baada ya kujaza form ya mkataba na kuacha kopi ya ID) then unachukua mkopo unafanya yako within siku thelathini unakuja na pesa jumlisha riba tunakupa simu au laptop yako.
Basically hatuchaji riba but gharama ya kutunza property yako kwa muda unaokaa na pesa zetu, ambayo ni almost 30% ya mzigo uliochukua.
Money is a scarce resource I know this will be a business, I just want to know about its legality. Is this mode of business legal?
Yaani kisheria unaruhusiwa kumkopesha MTU na ukabaki na kitu chake kama dhamana?
Thanks.