Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 Aug 26, 2012 #1 Wana jf heshima kwenu. Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kukodisha magari. Ninayo magari mawili 4x4 heavy duty ambayo siyatumii hivyo nimeonelea nianze na hayo kwanza. Mwenye uzoefu na biashara hii msaada tafadhali.
Wana jf heshima kwenu. Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya kukodisha magari. Ninayo magari mawili 4x4 heavy duty ambayo siyatumii hivyo nimeonelea nianze na hayo kwanza. Mwenye uzoefu na biashara hii msaada tafadhali.
Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 Aug 26, 2012 Thread starter #3 Ndele said: gari aina gani? Click to expand... Ninayo Nissan Hardbody na Landcruiser hardtop.
N Ndele Member Joined Dec 27, 2008 Posts 82 Reaction score 11 Aug 26, 2012 #4 ok! unakodisha kwa shilingi ngapi kwa siku tufanye biashara? na gari zipo wapi?
Sunshow JF-Expert Member Joined Nov 11, 2011 Posts 1,140 Reaction score 395 Aug 27, 2012 Thread starter #5 Ndele said: ok! unakodisha kwa shilingi ngapi kwa siku tufanye biashara? na gari zipo wapi? Click to expand... Mkuu nataka kwanza nipate uzoefu kutoka kwa wale ambao tayari wamefanya biashara hii baadae nifikirie kufanya au la.
Ndele said: ok! unakodisha kwa shilingi ngapi kwa siku tufanye biashara? na gari zipo wapi? Click to expand... Mkuu nataka kwanza nipate uzoefu kutoka kwa wale ambao tayari wamefanya biashara hii baadae nifikirie kufanya au la.
R Richard Nguma Member Joined Apr 29, 2011 Posts 65 Reaction score 5 Aug 27, 2012 #6 Mkuu hiyo landcruase ni spring coil?is Ihzd?
Ossy32 Member Joined Mar 30, 2010 Posts 5 Reaction score 0 Aug 27, 2012 #7 Sunshow, kuna mtu anataka. Reply to me b4 11:00 27/08/2012