Chum Chakavu
Member
- Oct 19, 2018
- 18
- 22
Asante sanaBig up mkuu [emoji106]
Fanya Kile unacho penda kufanya na kile kitakacho kupatia pia Furaha.
Kinacho mata sana ni kiwango cha mapenzi na hicho unacho taka kufanya.
Hongera sana Mkuu kwa wazo zuri hilo la ubunifu, sasa usiishie kwenye maneno liweke katika matendo
Mmh!! Inahitaji umakin unaweza kupenda fanya biashara fulani ila kutokana na sabab za kibiashara ikawa ngumu kufanya au utaweza fanya kwa hasaraFanya Kile unacho penda kufanya na kile kitakacho kupatia pia Furaha.
Kinacho mata sana ni kiwango cha mapenzi na hicho unacho taka kufanya.
Ugumu unatoka wapi wakati ndo unacho penda?Mmh!! Inahitaji umakin unaweza kupenda fanya biashara fulani ila kutokana na sabab za kibiashara ikawa ngumu kufanya au utaweza fanya kwa hasara
'To prosper anything , you must first put on its shoes ' Una idea nzuri sana , ila hapo kwenye kuitia flavour mihongo ndo panaponitatiza ,
Mihogo ni chakula cha asili, kuitia atrificial flavour kukatakufanya ujitenge na walaji asili ambao kimsingi ndo tegemeo lako, na badala yake utahangaika kuwashawishi walaji wapya juu ya hivo vikolombwezo vyako , na chances ya kufanikiwa kwenye hiyo idea yako itakuwa ndogo sana.
We boresha kwenye usafi na namna ya kuandaa hiyo mihogo, ila ipike katika namna ambayo inafahamika huku uswahilini kwetu, kuna watu kibao , nikiwemo mimi , ambao tunapenda mihogo ila kupata sehemu sahihi ya kukaa na kula muhogo ni challenge.
Ugumu unatoka wapi wakati ndo unacho penda?
Ugumu unaanza pale unapo fanya kwa sababu umeambiwa inalipa au uliiga tu
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Umeongea kitu cha maana bossAkuna kitu unapenda mkuu hizo theory tu fanya cheku kukutoa kwa muda huwo hivyo boashara yoyote unafungua kwaajiri inalipa na itakutoa na nisawa kwamba unaipenda.
Mimi kichwani nina malengo ya kufanya biashara kibao inamaana kati ya hizo yepi naypipenda
1)Restaurant
2)Uwakala
3)Juice bar
4)Car wash
6)Kilimo
7)Ufugaji
8)Duka la nguo nk
kwahiyo hapo napenda kipi minangalia chochote kitachonitoa, kwahiyo unaamini wanaofanya kazi ya kupakuwa mavi wanapenda, nina mtaji wa 700K itanilimiti kufungua biashara ya pesa hiyo kama kiduka cha CD, nina 6M nitataka Carwash au Restairant nk, nina 1Billion nitafanya Real Estate nk kwahivyo mtaji utakupangia na watu wanaangalia faida mzee, sikweli kwamba muuza duka la rejareja anapenda kuwa kama mfungwa saa 12 asubui hadi 5 usiku ila pesa ndio influencial factor mkuu.
Akuna kitu unapenda mkuu hizo theory tu fanya cheku kukutoa kwa muda huwo hivyo boashara yoyote unafungua kwaajiri inalipa na itakutoa na nisawa kwamba unaipenda.