Kila inayoitwa biashara na kuna watu wanfanya, basi kuna inaowalipa na wanaopata hasara.
Suala ni anataka kufanya nini ambacho atakuwa na moyo nacho, maarifa na uwezo wa kukianzisha na kuendeleza.
Mfano humu tukimshauri afungue kiwanda cha ku pack na ku label pombe kali, unaweza kuta ni strict Muslim au Christian.
Tukimwambia atafute potential areas in town, afungue bucha awe anachukua nyama machinjioni, anaweza ona anachelewa, labda ana mamia ya mamilioni n.k
Napendekeza apitie uzi humu unabkey words "njia bora ya kupata mawazo ya biashara".
Lolote atakaloanza afanye utafiti na aanze kidogo kidogo.