Biashara ya korosho

Biashara ya korosho

Entreprenuare

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2019
Posts
1,616
Reaction score
1,735
Mwenye uzoefu na biashara ya korosho, naomba anijuze ..

Kununua na kuuza, korosho

IMG_3149.jpg
 
Watu wa Kusini wasogee.. Nadhani watatupatia mchanganuo mzuri tuu

Hata mkuu wetu Zitto atatusaidia kwa hilo

Ila picha yako ya korosho mleta mada ungefanya kuibadilisha kidogo.. Naona inaleta ukakasi flan iv
 
Ukakasi tena? Mkuu
 
DAAH MKUU KWENYE PICHA HIYO NDO KOROSHO YENYEWE😀😀😀
 
Back
Top Bottom