Duuh!! Kweli kua uyaone, hawa wadudu hata kuwaona sipendi kumbe ni dili?
Mkuu japo kuwa si vyema mimi kupinga ulaji wa nyama hii kwa mtu anaye kula, ila ukweli wadudu hawa wanatia kichefu chefu, mimi nilikuwa nasikia eti watu wanakulaga ila kwa macho yangu nilikuja kuona nchini msumbiji tena hapa karibu na Tanzania kwenye wilaya moja iitwayo mweda. nilienda sokoni nikakuta wamewekwa kwenye meza wanauzwa pamoja na panya na wamakonde wa msumbiji walikuwa wanagombania sana. nilinunua mkate mpaka nilipo enda sehemu nyingine ambako hawali. kichefu chefu sana bana. au siyo?
Mkuu tunakula mida hii maada za haina hii hazifai.
Ni kweli ila kama pesa yake ndefu mtu unauza tu na kupiga pesa.., vipi bei ya huko Msumbiji ilikuwa inalipa ? Nione utaratibu wa kuanza kuwafuga na kuwasafirisha huko
watu wanakula mkuu tusiwakwaze wengine hawapendi hata kusikia kitu hiyo. next time byeee
Umenifanya nicheke peke yangu. Aisee inatia kichefuchefu lakini kwa mlaji mate ndo yanamtoka akiona hii mada. Hawa wadudu ni kitoeo kizuri sana kwa wamakonde chale kule kwetu Mtwara. Huwa na msimu wao wa kuzaana ukichanganya hata shambani kwetu wanajaa sana utakuta wanakuja kutuomba wawaondoe :laugh:"watusafishie shamba".:laugh:Mkuu tunakula mida hii maada za haina hii hazifai.
Mkuu japo kuwa si vyema mimi kupinga ulaji wa nyama hii kwa mtu anaye kula, ila ukweli wadudu hawa wanatia kichefu chefu, mimi nilikuwa nasikia eti watu wanakulaga ila kwa macho yangu nilikuja kuona nchini msumbiji tena hapa karibu na Tanzania kwenye wilaya moja iitwayo mweda. nilienda sokoni nikakuta wamewekwa kwenye meza wanauzwa pamoja na panya na wamakonde wa msumbiji walikuwa wanagombania sana. nilinunua mkate mpaka nilipo enda sehemu nyingine ambako hawali. kichefu chefu sana bana. au siyo?
Duuh!! Kweli kua uyaone, hawa wadudu hata kuwaona sipendi kumbe ni dili?
Duniani kuna mambo.
Ebwanaee.. Mmenikumbusha majanga ya hii kitu, niliwahi kula kwa kutokuelewa pale forodhani Zanzibar. Ukienda pale mida ya jioni unakuta mishkaki kibao mizuriiiii sindio kuuliza nikaambiwa fish. Kumbe jamaa alisema snail fish nikakandamiza kidume, weeee acha balaa liniangukie. Sitosahau