P Panomukailila Member Joined Feb 16, 2021 Posts 5 Reaction score 0 Mar 26, 2021 #1 Naomba msaada. Nawezaje kufanya biashara kimataifa kwa kupeleka bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania, hasa nchini Marekani. Channel zipi nitumie na kiasi gani naweza safirisha kwenye nchi hiyo.
Naomba msaada. Nawezaje kufanya biashara kimataifa kwa kupeleka bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania, hasa nchini Marekani. Channel zipi nitumie na kiasi gani naweza safirisha kwenye nchi hiyo.
Mwl.RCT Platinum Member Joined Apr 5, 2009 Posts 15,793 Reaction score 22,765 Mar 26, 2021 #2 Panomukailila said: bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania Click to expand... #1 - Hakikisha unakuwa na vibali stahiki vya biashara husika. Panomukailila said: kiasi gani naweza safirisha kwenye nchi hiyo. Click to expand... #2 - Inategemea na uhitaji wa bidhaa husika kwenye nchi husika.
Panomukailila said: bidhaa kama asali, samaki na dagaa wa ziwa Tanganyika nchi za nje ya Tanzania Click to expand... #1 - Hakikisha unakuwa na vibali stahiki vya biashara husika. Panomukailila said: kiasi gani naweza safirisha kwenye nchi hiyo. Click to expand... #2 - Inategemea na uhitaji wa bidhaa husika kwenye nchi husika.
P Panomukailila Member Joined Feb 16, 2021 Posts 5 Reaction score 0 Mar 26, 2021 Thread starter #3 Vibali ni kama vipi na je kuna kiasi elekezi cha mzigo wa kusafirisha?