yungsteval JF-Expert Member Joined Feb 21, 2014 Posts 309 Reaction score 109 Dec 19, 2014 #1 habari......natafuta masoko/wateja wa kamba za katani/kudu kwa bei ya jumla: Kamba ya mita 100 kwa piece 10 ni sh 15000 kamba ya mita 200 kwa piece 10 ni sh 30000 kwa anayehitaji au anamjua mtu anayehitaji tuwasiliane pm
habari......natafuta masoko/wateja wa kamba za katani/kudu kwa bei ya jumla: Kamba ya mita 100 kwa piece 10 ni sh 15000 kamba ya mita 200 kwa piece 10 ni sh 30000 kwa anayehitaji au anamjua mtu anayehitaji tuwasiliane pm
A alikhalef JF-Expert Member Joined Jan 6, 2012 Posts 717 Reaction score 75 Aug 1, 2019 #2 Naomba number yako
jozzeva JF-Expert Member Joined Oct 27, 2012 Posts 2,193 Reaction score 1,832 Aug 1, 2019 #3 Weka hata kapicha basi na sisi tutie Macho Nuru.