Biashara ya hardware inauzwa-kariakoo gerezani

Speculator

Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
56
Reaction score
4
Duka/Frame au Biashara inayoendelea iko mtaa wa biashara na wateja wa kutosha pia inavutia sana,,,,na ina kila kitu kisheria inauzwa na mwenyewe, mnunuzi analipa tu na kuanza kuuza saa hiyo hiyo baada ya makabidhiano ya kisheria, kwa maana kodi zote zimelipwa na biashara ina stock ya kuvutia sana wateja na kutosheleeza, waweza kulipa mara moja na kuachana au kulipa kwa mkataba maalumu ya lnstalments tegemea na dhamana ya mteja, pia tunaweza kufunga mkataba wa FRANCHISE(unalipia mfumo,goodwill,mrahaba,jinala biashara yetu kwa mwaka) Vyote vinawezekana, bei inategemea ni kipi unataka,,, karibuni sana,,
Kwa wale wapendao wani PM au email: jifunze.learn@gmail.com
 
Biashara ya hardware inauzwa-kariakoo gerezani
Nilivyoelewa ni kwamba ulikuwa umeanza biashara ya hardware, imekushinda kuendesha sasa umeamua kuuza frame pamoja na hardware/vitu vilivyomo. Ukisema "Biashara ya hardware inauzwa" maana yake hapo unaiuza biashara, huuzi hardware. Inachanganya kidogo, weka sawa
 
Nimeku pm mkuu
 
Vyovyote upendavyo ni sawa tu,, maana ya ukinipa pesa mm naondoka nakuachia duka likiwa na mkataba wa pango mwaka mzima, leseni, certificate kusajiliwa brella, godwil na mfumo wote n.k. au kukodi kwa mwaka unilipe mrahaba,, na sababu za kuuza sio kushindwa hata kdg,,, biashara ya hardware iko wazi na soko lake halisumbui....
 
Back
Top Bottom