Biashara ya gazeti,namna ya kuanzisha

Drat

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,102
1,239
Habari wadau? heshima yenu wote. Naombeni kujuzwa juu ya namna ya kuanzisha magazine, natakiwa niende wapi na vitu gani katika mamlaka? na pia naomba kufahamishwa printer yupi anafanya kazi nzuri kwa bei nafuu.Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom