alongakeke
Member
- Feb 3, 2017
- 98
- 30
wakuu nataka kufanya biashara ya electronics nijikite kwenye samsung na iphones , laptops pamoja na video game consoles kama ps4 n kadhalika, nn mawazo yenu kuhusu mpango huu, ?
MwanzaHiyo biashara unataka kufanyia wapi mkuu?
27mMtaji kiasi gani mkuu