marandu2010
JF-Expert Member
- Aug 7, 2010
- 1,201
- 446
Hiyo biashara inawezekana ila kabla hujaanza fanya Budget ya Kodi, vitu unavyotaka kuuza na bei zake utakazonunulia .
Vile vile tafuta kijana na weka control kwa kufanya stock taking kila wiki. Kwani tayari utakuwa umempa bei za kuuzia na una jua una stock ya kiasi gani jumla.
Kama kuna upungufu lazima utamuuliza.
Habari zenu wakuu:
Hivi biashara ya duka la jumla la vitu mbalimbali inahitaji mtaji wa kiasi gani??? Na inawezekana kumweka mtu na akafanya biashara hii kwa uaminifu na wewe ukaendelea na mambo mengine??,,fikiria huyo mtu si mke wako..
Natanguliza shukurani zangu wakuu.
Asante sana Mwafrica kwa ushauri wako wenye tija, kwa kuwa wewe una fanya biashara hii tutawasiliana sana. Asante sana mkuu Africa. Tuko pamojaIna ugumu wake, mosi risk yakuporwa mauzo, pili wizi wa wafanyakazi, tatu, lazima uwe karibu na benki ili usilale na mauzo. Ningeshauri umuajiri mtu wa karibu unaemuamini. close monitorring is also extremely important, lazima kufunga stock on daily basis. Good capital starting from 15m it can suffice at the biggining. let's talk I run similar business.
Ina ugumu wake, mosi risk yakuporwa mauzo, pili wizi wa wafanyakazi, tatu, lazima uwe karibu na benki ili usilale na mauzo. Ningeshauri umuajiri mtu wa karibu unaemuamini. close monitorring is also extremely important, lazima kufunga stock on daily basis. Good capital starting from 15m it can suffice at the biggining. let's talk I run similar business.
Kwa shilingi hizo unazozitaja hutaweza kuwa na duka la jumla la maana, sijui unapanga kufungulia wapi lakini kama unaweza kufungua duka la kuuza maji ya chupa na juice za Bakhresa itakuwa afadhali na polepole uongeze bidhaa .hata hivyo mtaji ni mdogo sana.
Kwa arusha hiyo ela yako ni kodi ya miezi 8 kwa frem ya duka ! Tafuta namna ingine tofauti na biashara ya jumla!
Mkuu me nipo Dar, na frame nimeshapata ni elfu 90 kwa mwezi tena mwenyew anapokea ya miezi sita sita hii ni mbali na hiyo 8m niliyo nayo ya mtaji.
Mkuu me nipo Dar, na frame nimeshapata ni elfu 90 kwa mwezi tena mwenyew anapokea ya miezi sita sita hii ni mbali na hiyo 8m niliyo nayo ya mtaji.