Ukitaka kuifanya vizuri usiwe na chini ya milion nane lakini ukiwa na milion 15 mpaka 20 hapo utatengeneza faida sana. Kila seal na jamhukosi faida ya 3000 mpaka 6000, mosquito zinauzwa jumla 8000 we unauza 11000 mpaka 12000.
Bado kuna zile mosquito rubber na rubber za vioo, kuna lock, kuna fesna, kuna roller, ila kama ni vioo tu hata milion moja unaaza as long as unauza vya kukata siyo sheet zima zima.
Sheet milimeter 4 unanunua 45000 unauza 53000 halafu 5mm unanunua 53-55000 unauza moka 60000-65000