Biashara ya duka inahitaji roho ngumu

BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2017
Messages
231
Likes
285
Points
80
BradFord93

BradFord93

JF-Expert Member
Joined Oct 11, 2017
231 285 80
Chanzo kikuu cha maduka mengi kufilisika ni.;
1.kodi kubwa ya frem
2.gharama za maisha (maana mwenye duka pia ni bnadam na ana familia pia km amepanga chumba pia)
3.kodi kubwa ya serikali(wengi huangushwa na hili)
4MIKOPO dukani(marafiki...ndugu na majirani)

Njia pekee ya kuendeleza biashara ya duka ni kuwatolea imani kuwa wakija kukopa watapata....yan wape hofu ya kukopa kabiiisa

Mfano mzuri ni jana tu...kuna mke wa mjesh alizoea kuchukua vitu hlf hela n mpk mumew akirud....kilichonitisha n kuwa nilickia maduka mengne wakilalamika kuwa hua halipi kwa wakati....!!jana kajileta akitaka maji ya lita 12...!!sikumpa (na nilisubiri mpk anipe hela yngu)

Mfano wa pili ni rafiki yangu....tumesoma kuanzia primary mpk sekondari...!!jamaa alkuja kunitembelea tu....hlf baadae akatafta chumba jirani n nnakofanyia biashara....(kila jioni akawa anakuja)...anchukua kitu cha 600 anatoa 500(anasema ntaileta....hapohyo itapitiliza wiki)...na hapo kuna deni nilimkopesha 2012 mpk leo hii hajawah ht kkumbushia.....jana nikasema ngojea nimuonyeshe ukatili

Tulipiga story fresh...tumecheka saana....mwshoni akataka kitu cha 500 akisema hela atoe kesho....nilimkazia na hakuamini....!!akajua utan lkn sikumpa chochote

Kwa wale wanaotaka kuanzisha au wanaofanya biashara ya duka....km wahitaji kuendelea kimaisha....
1.ifanye biashara maisha yako
2.ismamie ipasavyo
3.urafiki na biashara vikae mbali....
4.kopesha km mtu n muaminifu n km waona kweli kuna uhitaji wa kumpa(roho ikisita usitoe)
5.hela ya dukani usitoe ht siku moja....ht km mtu amekuomba kwa mda mfupi
6.kaa mbali na wanawake..(tongoza wanawake wa mbali na wasiojua unafanya ishu gn...wajue unauza duka ila wadanganye location)
7.roho nyepesi weka pembeni....binadam ukimchekea siku ukifilisika atakucheka

Natumaini wale wenye nia ya kufanya biashara ya duka au wenye hiyo bishara tyr ....tumejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
10,879
Likes
13,158
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
10,879 13,158 280
Biashara ya duka ni biashara rahisi kufanya ukiwa strict na haina complication wala msimu kama zilivyo biashara nyengine. Shida ni mazoea mabaya watu hufanya na wateja ndio huleta mushkeli. Aheri uonekane bandidu kuliko kuwa na moyo wa huruma halafu unateketea.
 
TheMirror

TheMirror

Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
11
Likes
14
Points
5
TheMirror

TheMirror

Member
Joined Aug 19, 2018
11 14 5
Chanzo kikuu cha maduka mengi kufilisika ni.;
1.kodi kubwa ya frem
2.gharama za maisha (maana mwenye duka pia ni bnadam na ana familia pia km amepanga chumba pia)
3.kodi kubwa ya serikali(wengi huangushwa na hili)
4MIKOPO dukani(marafiki...ndugu na majirani)

Njia pekee ya kuendeleza biashara ya duka ni kuwatolea imani kuwa wakija kukopa watapata....yan wape hofu ya kukopa kabiiisa

Mfano mzuri ni jana tu...kuna mke wa mjesh alizoea kuchukua vitu hlf hela n mpk mumew akirud....kilichonitisha n kuwa nilickia maduka mengne wakilalamika kuwa hua halipi kwa wakati....!!jana kajileta akitaka maji ya lita 12...!!sikumpa (na nilisubiri mpk anipe hela yngu)

Mfano wa pili ni rafiki yangu....tumesoma kuanzia primary mpk sekondari...!!jamaa alkuja kunitembelea tu....hlf baadae akatafta chumba jirani n nnakofanyia biashara....(kila jioni akawa anakuja)...anchukua kitu cha 600 anatoa 500(anasema ntaileta....hapohyo itapitiliza wiki)...na hapo kuna deni nilimkopesha 2012 mpk leo hii hajawah ht kkumbushia.....jana nikasema ngojea nimuonyeshe ukatili

Tulipiga story fresh...tumecheka saana....mwshoni akataka kitu cha 500 akisema hela atoe kesho....nilimkazia na hakuamini....!!akajua utan lkn sikumpa chochote

Kwa wale wanaotaka kuanzisha au wanaofanya biashara ya duka....km wahitaji kuendelea kimaisha....
1.ifanye biashara maisha yako
2.ismamie ipasavyo
3.urafiki na biashara vikae mbali....
4.kopesha km mtu n muaminifu n km waona kweli kuna uhitaji wa kumpa(roho ikisita usitoe)
5.hela ya dukani usitoe ht siku moja....ht km mtu amekuomba kwa mda mfupi
6.kaa mbali na wanawake..(tongoza wanawake wa mbali na wasiojua unafanya ishu gn...wajue unauza duka ila wadanganye location)
7.roho nyepesi weka pembeni....binadam ukimchekea siku ukifilisika atakucheka

Natumaini wale wenye nia ya kufanya biashara ya duka au wenye hiyo bishara tyr ....tumejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaweza pita siku ukauza pipi kifua moja.
 
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Messages
16,240
Likes
23,791
Points
280
Bilionea Asigwa

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2011
16,240 23,791 280
Wazo zuri sana hapo.
Hasa kwenye kutokujenga mazoea na biashara hasa ya rafiki na ndugu na videmu demu
 
Hammy Js

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2017
Messages
2,823
Likes
2,672
Points
280
Hammy Js

Hammy Js

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2017
2,823 2,672 280
Chanzo kikuu cha maduka mengi kufilisika ni.;
1.kodi kubwa ya frem
2.gharama za maisha (maana mwenye duka pia ni bnadam na ana familia pia km amepanga chumba pia)
3.kodi kubwa ya serikali(wengi huangushwa na hili)
4MIKOPO dukani(marafiki...ndugu na majirani)

Njia pekee ya kuendeleza biashara ya duka ni kuwatolea imani kuwa wakija kukopa watapata....yan wape hofu ya kukopa kabiiisa

Mfano mzuri ni jana tu...kuna mke wa mjesh alizoea kuchukua vitu hlf hela n mpk mumew akirud....kilichonitisha n kuwa nilickia maduka mengne wakilalamika kuwa hua halipi kwa wakati....!!jana kajileta akitaka maji ya lita 12...!!sikumpa (na nilisubiri mpk anipe hela yngu)

Mfano wa pili ni rafiki yangu....tumesoma kuanzia primary mpk sekondari...!!jamaa alkuja kunitembelea tu....hlf baadae akatafta chumba jirani n nnakofanyia biashara....(kila jioni akawa anakuja)...anchukua kitu cha 600 anatoa 500(anasema ntaileta....hapohyo itapitiliza wiki)...na hapo kuna deni nilimkopesha 2012 mpk leo hii hajawah ht kkumbushia.....jana nikasema ngojea nimuonyeshe ukatili

Tulipiga story fresh...tumecheka saana....mwshoni akataka kitu cha 500 akisema hela atoe kesho....nilimkazia na hakuamini....!!akajua utan lkn sikumpa chochote

Kwa wale wanaotaka kuanzisha au wanaofanya biashara ya duka....km wahitaji kuendelea kimaisha....
1.ifanye biashara maisha yako
2.ismamie ipasavyo
3.urafiki na biashara vikae mbali....
4.kopesha km mtu n muaminifu n km waona kweli kuna uhitaji wa kumpa(roho ikisita usitoe)
5.hela ya dukani usitoe ht siku moja....ht km mtu amekuomba kwa mda mfupi
6.kaa mbali na wanawake..(tongoza wanawake wa mbali na wasiojua unafanya ishu gn...wajue unauza duka ila wadanganye location)
7.roho nyepesi weka pembeni....binadam ukimchekea siku ukifilisika atakucheka

Natumaini wale wenye nia ya kufanya biashara ya duka au wenye hiyo bishara tyr ....tumejifunza kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimchekea nyani utavuna mabua, weka bango mlangoni SIKOPESHI MTU

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Messages
5,558
Likes
3,183
Points
280
LIKUD

LIKUD

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2012
5,558 3,183 280

Wenzako wachaga wanakuwaga majambazi duka huwa ni cover up tu
 
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2016
Messages
6,437
Likes
7,283
Points
280
Saguda47

Saguda47

JF-Expert Member
Joined May 1, 2016
6,437 7,283 280
Siyo tu biashara ya duka! biashara yoyote ile inahitaji uzingatie sana uliyoyataja hapo.

Mi nilikuwa na baa yangu, mwishowe niliipiga chini, nilijikuta mtaji unazidi kuisha tu, pesa nyingi ilikuwa kwenye madeni ya marafiki zangu. mfano Mtu anadaiwa 50,000/= analipa 20,000/= sijui utahemea/utanunulia nini bia + vinywaji vingine siku inayofuata.

A Friend is sometimes a source of your decline, be more careful!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,251,651
Members 481,811
Posts 29,778,891