M Marambo Senior Member Joined Jul 26, 2015 Posts 104 Reaction score 69 Jan 17, 2022 #1 Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?)
A ABUURA Member Joined Aug 31, 2022 Posts 43 Reaction score 27 Feb 10, 2025 #2 Hata mie nataka kujua pia
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,773 Feb 10, 2025 #3 ABUURA said: Hata mie nataka kujua pia Click to expand... Ngoja tusubiri maoni.Naamini uzi haujaonwa tu na watu, ila kuna wenye experience yakutosha
ABUURA said: Hata mie nataka kujua pia Click to expand... Ngoja tusubiri maoni.Naamini uzi haujaonwa tu na watu, ila kuna wenye experience yakutosha
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,673 Reaction score 6,752 Jul 25, 2026 #4 Marambo said: Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?) Click to expand... Vipi ulifanikowa? Tupe mrejesho
Marambo said: Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?) Click to expand... Vipi ulifanikowa? Tupe mrejesho
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 40,188 Reaction score 68,528 Jul 25, 2026 #5 Marambo said: Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?) Click to expand... Uzi watu wameukacha?
Marambo said: Jamani, Naomba kuuliza. Ninatarajia kufungua biashara ya kufua nguo na kupasi. Je ninaweza kupata kipato kizuri cha kujikimu? Hii biashara ili nipate faida, nifanyeje? Je, nitapataje zile kemikali za kufua bila maji? (DRY CLEANING?) Click to expand... Uzi watu wameukacha?
Elvis Legacy JF-Expert Member Joined Aug 10, 2017 Posts 4,592 Reaction score 7,081 Jul 27, 2026 #6 Bush Dokta said: Uzi watu wameukacha? Click to expand... Hii biashara inaonekana haina wataalam na wateja wengi ndio maana. Ingekuwa biashara ya baa au danguro uzi ungekuwa page ya 300
Bush Dokta said: Uzi watu wameukacha? Click to expand... Hii biashara inaonekana haina wataalam na wateja wengi ndio maana. Ingekuwa biashara ya baa au danguro uzi ungekuwa page ya 300
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,827 Reaction score 36,831 Jul 27, 2026 #7 Naziona zina shamiri kila kona zina ibuka tu
Manigga Qwame Senior Member Joined Jul 10, 2021 Posts 104 Reaction score 186 Jul 27, 2026 #8 raraa reree said: Naziona zina shamiri kila kona zina ibuka tu Click to expand... Ukiona hivyo ujue kipato uwakika kipengele location yako tu
raraa reree said: Naziona zina shamiri kila kona zina ibuka tu Click to expand... Ukiona hivyo ujue kipato uwakika kipengele location yako tu
J Jafarinho JF-Expert Member Joined Apr 20, 2024 Posts 327 Reaction score 546 Jul 27, 2026 #9 Nipo jirani na dry cleaner ina wateja wengi sana
M Magezi bugaga JF-Expert Member Joined Jul 7, 2021 Posts 1,680 Reaction score 2,171 Aug 2, 2026 #10 Mashine tafuta heavy duties mimi niko nayo ya kg 20 kwa matumizi ya home inapiga kazi vizuri ni miaka 3 sasa sijapata changamoto kampuni ni lg
Mashine tafuta heavy duties mimi niko nayo ya kg 20 kwa matumizi ya home inapiga kazi vizuri ni miaka 3 sasa sijapata changamoto kampuni ni lg