Dhahabu itafute uifahamu kwanza..uishike uielewe kabla ya kujiingiza kwenye biashara...jaribu kufanya safari kwenda kwenye migodi midogo midogo then uelewe kwanza halafu huko nipo utapata bei ya shambani hii inategemea na eneo na eneo halafu from there ndio unaweza kudetermine utaiuza raw kwa bei gani ila kuwa na scale ni muhimu na pia (mguu wa kuku) in case mtaji wako ni mkubwa.