Habar! Jamani kwa wakaz wa kanda ya ziwa naomba kuwashilikisha biashara hii ya dagaa kusafilisha kuleta mikoa ya kanda ya kat kama Tabora, singinda, Dodoma na morongoro. Inalipa baraa. Mi npo moro lakn nimezunguka sana maeneo haya nimeona jins watu wanavyoitaji bidhaa hyo. Nawakumbusha vijana hususa mliopo kanda ya ziwa kuchangamkia fursa hiyo