Biashara ya Car wash

Kambona Mosha

New Member
Joined
Aug 2, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Jamani dar imechafuka yono wanakamata magari kila mahali hasa kimara Hadi kibaha tuwe makini tutafilisika
 
mkuu umeandika haraka mno, kunywa maji kwanza uelezee vizuri., kwamba wanakamata gari likiwa car wash ama?

mana najua yono hua wanakamata ukiwa umepark vibaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…