Biashara ya Butcher

Biashara ya Butcher

mr man city

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
467
Reaction score
320
Kwema wakuu, tupeane mwongozo kwenye hii biashara ya nyama ya ng'ombe, bei ya nyama, vifaa vya ndani ya bucha, mizani ya kisasa,Cetc.

Location ni Mwanza, maeneo ya chuo cha Saut huku.

Nimeona fursa kutokana na uhaba wa mabucha.
 
Kwema wakuu, tupeane mwongozo kwenye hii biashara ya nyama ya ng'ombe, bei ya nyama,vifaa vya ndani ya bucha, mizani ya kisasa,etc.

Location ni mwanza,maeneo ya chuo cha saut huku.
Nimeona fursa kutokana na uhaba wa mabucha.

UMESHANIPA LOCATION,
NAKU_OVERTAKE.

WIKI HII NAJA KUFUNGUA MABUCHA MAWILI HAPO.
 
Biashara ina mapicha picha hyo hatari.

We kaa ujue kila ukilaza viporo ni hela hyo (inakata mtaji na faida) na kesho wakuda hawataki viporo

Utajaza Viporo Hadi Ufurahi, fridge linajaa tu (Jipange), faida za nyama ni pasua sanaa....ukikaa vibaya nyama inaharibika unakula loss utafurahi na roho yako.

Nimekupa the negatives cz wengi wanajuaga biashara ni slope tu. Na hapo bado kijana hajakupiga.
 
Na bado hujarogwa 😊 , Ila akikaza baada ya mwaka kama atakuwa serious na ametengeneza jina , atawin , Ila kazi iwe ya uhakika, nyama Safi na laini
 
😅😅😅
 
Ndio yale ya Nondo unachomea mtu hadi anakufa then unaenda kutundikia Nyama😅😅😅
 
Biashara ina mapicha picha hyo hatari.

We kaa ujue kila ukilaza viporo ni hela hyo (inakata mtaji na faida) na kesho wakuda hawataki viporo

Utajaza Viporo Hadi Ufurahi, fridge linajaa tu (Jipange), faida za nyama ni pasua sanaa....ukikaa vibaya nyama inaharibika unakula loss utafurahi na roho yako.

Nimekupa the negatives cz wengi wanajuaga biashara ni slope tu. Na hapo bado kijana hajakupiga.
 
Biashara ina mapicha picha hyo hatari.

We kaa ujue kila ukilaza viporo ni hela hyo (inakata mtaji na faida) na kesho wakuda hawataki viporo

Utajaza Viporo Hadi Ufurahi, fridge linajaa tu (Jipange), faida za nyama ni pasua sanaa....ukikaa vibaya nyama inaharibika unakula loss utafurahi na roho yako.

Nimekupa the negatives cz wengi wanajuaga biashara ni slope tu. Na hapo bado kijana hajakupiga.

UKWELI MTUPU
 
Fungua butcher pembeni weka jiko la nyama choma. Wateja wengine wananunua nyama wanataka umchomee. Hii niliiona Nairobi.
Pembeni ya butcher lazima kuwe na jiko la kuchomea.
 
Back
Top Bottom