Naomba ushauri kuhusu biashara Spare za Pikipiki

Moorio

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
397
552
Habari wana jamvi,

Nahitaji msaada na ushauri biashara ya spare za pikipiki.

Kuna uzi huku wa mda mrefu kuhusu hii biashara ila nimeshacoment hakuna majibu...naomben kama kuna anayefanya hii biashara.

Ningependa kujua hasa kwa wauzaji wa vifaa vya kutoka china kwa k.koo walio na bei nzuri( bei ya chini)

Pia wauzaji wa vifaa Og vya boxer na Tvs kutoka india kwa kariakoo wanapatikana wapi?
 
Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu.

Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako.

Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi.

Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu.
 
Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..

Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..

Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..
Ukifanikiwa ujue ni kwa kuwa unapenda na wengine wafanikiwe...hongera mdau kwa kumpa jibu zuri muanzisha mada, mungu akubariki sana wengi tunajifunza kupitia michango ya mawazo kama hii.

Wale wapuuzi wa kukomenti kuwa wamewahi siti ya mbele sijui huwa wanajiskiaje!?
 
Kwenye upande wa kutafuta fundi aje afanye kazi kwenye duka lako inategemeana na aina ya fundi, kama mafundi wakongwe wanaojulikana wenye wateja wengi ni lazima umlipe kiasi flani kwa maana unavyomhamisha kwenye ofis yake ya mwanzo anahama na wateja wake anakuletea ww je ww unakua na kipi cha kumshawishi mpaka ahame kwenye ofs yake ya zaman na aje kwako, ni hivyo kwa hyo kwa 75% ya fundi kumlipa mwenye duka ni ngumu, kiasi ila pia inategemeana na aina ya fundi
 
Ni kweli ukisemacho,, mie nilipoweka ofisi fundi hato nilipa chochote, ila kuna office fundi pia allnalipa kidogo kwa mwenye gereji, but these are just business models ambazo zinakua determined factors mbalimbali kulingana reputation ya duka..

Ila kwa anae-anza nadhan issue ya bei ya manunuzi ni ya muhimu sana ili wakati unaanza baishara hii uanze kwa bei itayovutia wateja.. bodaboda wengi wanapenda kupata spea kwa bei rahisi, sasa kama manunuzi yatakua bei juu utalazimika kuuza kwa bei ya juu, so hapa ukiwa una anza unaweka bei ya chini ili kutengeneza jina na volume ya biashara.. kumbuka biashara ya spare za pikpiki ni volume based.. ukiwa na mzunguko hata kama margin ni ndogo unapata kitu..

Hivo ni bora anaenza afanye research ya eneo anapotaka kuweka biashara aangalie gharama za frame (kodi), washindani wakoje, eneo linafaa kwa hiyo biashara? garama za awali za kutengeneza frame(hapa inategemea na mtu anataka frame iweje), pia kuna hawa jamaa wa tra na manispaa,, pia ni vitu gani vya muhimu kuanza navyo ambavyo ni fast moving ili kutengeneza mzunguko.

Vingine ntakua naleta mrejesho kadiri ntavokua napata uzoefu.
 
Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..

Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..

Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..
Na - subscribe huu uzi kwa ajili yako chief, nina ndoto ya kufanya biashara ya spares, nitaanza na pikipiki ndio nije magari.. tafadhali usiache kutupa mawili matatu kadri utakavyoweza, hapo tu kwenye mtaji umenisaidia sana mkuu
 
Karibu.. mie kwasasa nimeka na vya bajaji pia lubricants na filters kwa ajili ya service ya magari..so najipa matumaini hii diversification itanisaidia
 
Ni kweli ukisemacho,, mie nilipoweka ofisi fundi hato nilipa chochote, ila kuna office fundi pia allnalipa kidogo kwa mwenye gereji, but these are just business models ambazo zinakua determined factors mbalimbali kulingana reputation ya duka..

Ila kwa anae-anza nadhan issue ya bei ya manunuzi ni ya muhimu sana ili wakati unaanza baishara hii uanze kwa bei itayovutia wateja.. bodaboda wengi wanapenda kupata spea kwa bei rahisi, sasa kama manunuzi yatakua bei juu utalazimika kuuza kwa bei ya juu, so hapa ukiwa una anza unaweka bei ya chini ili kutengeneza jina na volume ya biashara.. kumbuka biashara ya spare za pikpiki ni volume based.. ukiwa na mzunguko hata kama margin ni ndogo unapata kitu..

Hivo ni bora anaenza afanye research ya eneo anapotaka kuweka biashara aangalie gharama za frame (kodi), washindani wakoje, eneo linafaa kwa hiyo biashara? garama za awali za kutengeneza frame(hapa inategemea na mtu anataka frame iweje), pia kuna hawa jamaa wa tra na manispaa,, pia ni vitu gani vya muhimu kuanza navyo ambavyo ni fast moving ili kutengeneza mzunguko.

Vingine ntakua naleta mrejesho kadiri ntavokua napata uzoefu.
Shukrani sana namim nimepata kitu
 
Ukifanikiwa ujue ni kwa kuwa unapenda na wengine wafanikiwe...hongera mdau kwa kumpa jibu zuri muanzisha mada, mungu akubariki sana wengi tunajifunza kupitia michango ya mawazo kama hii.

Wale wapuuzi wa kukomenti kuwa wamewahi siti ya mbele sijui huwa wanajiskiaje!?
 
Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..

Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..

Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..

Shukran sana ndugu yangu barikiwa sana
 
Kuna uzu humu kama huu ulikua na madini ya kutosha

Upo nilisoma karibu wote na kuna watu walisema wauzaj wa jumla ila ukiwachek hawapatikan tena uzi wa zamani sijui wameacha biashara
Na wachangiaji wengine hawana mrejesho wowote wa biashara zaid ya ushauri wa hapa na pale
 
Hello lucy, me ndo nimeanza rasmi hii biashara, mtaji nimeanza na 10m duka ni kigamboni dar es salaam, mzigo nimechukua kariakoo duka linaitwa sayuni lipo cate hotel.. hili duka lauza spea kwa bei nzuri, na kwa mtaji wa m10 kwa duka la spea za pikipiki na bajaji duka linakua linapendeza na unakua na spea zote za muhimu... Pia dukan kuna kama gereji kwa ajili ya kutengenezea pikipiki(kumbuka hii biashara inabidi uwe na fundi mzuri unamuiba mahala anakua anafanyia ufundi wake dukani kwako.. fundi humlipi analipwa na wanaokuja kutengeneza vyombo vyao.. na kijiwe kikichangamka fundi anatakiwa akupe kiasi fulan kwakua gereji ni yako..

Nb; fundi wengi wanapenda duka lenye vitu vyote ili kuwe na uhakika wa kazi..

Pia inapendeza ukiweka na compressor ya kujazia upepo ili kazi za panja zifanyike.. mengine ntashare kadiri navo pata uzoefu..

Kaka habari
Shukran kwa ushauri nimefanikiwa kuanza biashara na mtaji wa 5m ingawa kwa spare huu ni mtaji mdogo sana
Nimejaribu kwa msaada wa fundi kununua vifaa vichache vichache vya muhim sana
Na pia nimefanikiwa kupata fundi mzuri wa pikipiki Mungu ni mwema
Safari ndio inaanza Mungu atusaidie kufika malengo
Nitaleta mrejesho wa biashara so far inaonekana ni biashara nzuri ukipata location nzuri na fundi mzuri wa kuaminika na bodaboda
Shukran
 
Back
Top Bottom