S supercool Member Joined May 10, 2013 Posts 49 Reaction score 13 Oct 31, 2019 #1 Napenda kujua mbuzi kama hawa nitawapata wapi?mi nipo Tanga
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 34,434 Reaction score 59,292 Oct 31, 2019 #2 Hawa mbuzi wanaitwa Boer wanapatikana sana S Africa na Kenya pia wapo Wanafika mpaka 100kg na bei yake ni kubwa Ila kuna matapeli wameuza kwa picha sana kwa hiyo jihadhari sana
Hawa mbuzi wanaitwa Boer wanapatikana sana S Africa na Kenya pia wapo Wanafika mpaka 100kg na bei yake ni kubwa Ila kuna matapeli wameuza kwa picha sana kwa hiyo jihadhari sana
wakubeti JF-Expert Member Joined Oct 5, 2018 Posts 562 Reaction score 860 Nov 2, 2019 #3 Kunajirani yangu mmoja anao niwakubwa sio kawaida
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 21,699 Reaction score 41,862 Nov 2, 2019 #4 Wapi wakubeti said: Kunajirani yangu mmoja anao niwakubwa sio kawaida Click to expand... Wapi huku..tuunganishe nae tupate hata mbegu
Wapi wakubeti said: Kunajirani yangu mmoja anao niwakubwa sio kawaida Click to expand... Wapi huku..tuunganishe nae tupate hata mbegu